- Biashara, Habari, Kitaifa
- December 14, 2023
Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akizungumza kabla ya kuzindua kanzidata ya madereva wa Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Disemba 14, 2024. Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akipokea kutoka Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA), Elias Lukumay, hundi ya Shilingi milioni 100
READ MOREMhe. Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Gelasius Byakanwa akiangalia bidhaa za wajasiriamali wa Tanzania alipowatembelea katika Maonesho ya 23 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika Viwanja vya Cercle Hyppique (Golf Course), Bujumbura, Burundi. BALOZI wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Gelasius Byakanwa ametembelea
READ MOREWAJASIRIAMALI kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania wamemshukuru Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwawezesha kushiriki maonesho ya 23 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika Bujumbura, Burundi kuanzia tarehe 5 hadi 15 Desemba, 2023. Wakizungumza Wajasiriamali hao kwa nyakati tofauti wamesema uratibu uliofanywa
READ MORE